Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia kwenye Ukumbia Makonde Beach Tayari kufungua Kongamano la wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya |
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa wa Mtwara Bi Joyce Mwenda akitambulisha wadau walioalikwa kwenye Kongamano hilo |
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Joseph Simbakalia akihutubia wadau waliofika katika Kongamano hilo |
Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Mtwara wakiwa katika kongamano hilo la wadau wa mfuko wa bima ya afya |
Wadau wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye kongamano hilo ndani ya ukumbi wa makonde beach mkoani Mtwara |