Q chief ambae ameshaachia ngoma kadhaa tangu alivyorudi kwenye game
chini ya Chief Kiumbe ambae alikua akijitolea kumsaidia katika
kutengenza na kulipia video zake, alifikia hatua ya kuzungumza juu ya
biff lililopo kati yake na producer mkubwa Tanzania Adam Juma, kwa kudai
kuacha kutengeneza video yake na badala yake kutengeneza video ya
Shetta kwa pesa za video yake aliyokuwa kasaidiwa na Chief Kiumbe na
kuonyesha hisia zake jinsi ilivyomuuma
lakini Kiumbe alisema yuko tayari kumlipia video nyingine akairekodie Nairobi, lakini leo hii Chilla amesema
"kwa miaka minne nimekua nikiwapigia magoti, nikitu kizuri amekuja
amejitolea lakini nahisi kama kuna hasada katikati, so hata Chief pia
naona kwenye hii video angejiacha tu akawasaidia akina Shetta na
wengine. kama kuna mtanzania yuko tayari kuwekeza kwenye hii video na
carrier ya Q chief na katika biashara kwa nia ya kufika pale 1. asahau
yaliyopita 2. awe tayari kutoa nafasi 3. asiwe mbahili na mfuko wake,
kwasababu when u invest you get more money..............lakini Chief
Kiumbe right now is not the source, nimemsubiri sana, kama nilivyosema
sitasubiri kusubiri watu, anaeajiriwa ataajiriwa asiekuwa na ajiri
atatoka nje ya ajira, ni muda wa mapinduzi ya fikra potofu, this is it."
Chilla