Meza
kuu- Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos
Makala(wa pili kushoto) , Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Dr. Albina Chuwa (wa pili kulia) , Mkuu wa Chuo cha Mipango Dodoma
Constantine Lifurilo(kushoto) na Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi Moris
Uyuke(kulia) wakifuatia zoezi la ufunguaji wa semina ya siku tatu kwa
wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya
mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi
Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana (leo) katika ukumbi
wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma
wahariri
na waandishi wa habari--Wahariri na waandishi waandamizi wakifuatilia
mafunzo wakati wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi
waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia
kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo
hayo yalifunguliwa jana (leo) katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye
Chuo cha Mipango _Dodoma na Naibu Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni
na Michezo Amos Makala(hayupo pichani)
Pamoja
- Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos
Makala(mwenye tai kwa walio kaa) akiwa katika picha ya pamoja na
wahariri na waandishi waandamizi mara ya kumalizi kwa zoezi la ufunguzi
wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu
sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa
kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa
jana (leo) katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango
_Dodoma
Picha na Tiganya vincent- MAELEZO_ DOPDOMA.