Niliamua kumwendea hewani Nay wa Mitego Kujua kajianda vipi kuhusiana na Show ya ya Leo Usiku Darlive......Na Mnukuu Nay wa Mitego akifunguka
baada ya swali aliloulizwa, Nay''Napenda kumwambia bwana mdogo Diamond kuwa leo akae tayari kwa kuwa naenda kuandika Historia Mpya Darlive,Nataka watanzania wote wajitokeze waje kuona navyomkalisha mbana pua na wavaa nguo za dada zao wanaojidai kwenda sawa na utandawazi......'' Nay alizidi kufunguka kuwa leo ndo utakuwa mwisho wa Diamond na kumthibiishia kuwa Hip Hop ndo muziki unaolipa na wenye maana zaidi......!!
Hayo ndo maneno aliyoyatoa Nay dakika chache zilizopita
alivyopigiwa na Swiraty Blog Kuhusiana na Show kubwa kesho Darlive......
Stay Tuned Nitamuenda Hewani The Kid From Kigoma baada ya
kumfikishia ujumbe huu wa Nay... Je maneno hayo kakubaliana nayo....?
Stay here kusubiria jibu la Diamond Juu ya ujumbe huu.....!!