KWA HABARI ZILIZO HARIRIWA NA KUHAKIKIWA NA WACHAMBUZI MAKINI USIKOSE KUTEMBELEA HAPA KILA SIKU
Tuesday, June 5, 2012
BREKING NEWZZZZZZZZZZZZZZ.......AURORA AFARIKI DUNIA
PROMOTA maarufu wa ngumi za kulipwa Tanzania, Ally Suleiman 'Aurora' (pichani) amefariki dunia, imeelezwa.
Taarifa ambazo zimeifikia SWIRATY BLOG kutoka kwa mmoja wa ndugu wa mmiliki huyo wa kampuni ya Aurora Security, zimethibitisha amefariki dunia SWIRATY BLOG itakuletea taarifa zaidi kuhusu msiba huo baadaye.