Katibu mkuu wizara ya fedha Ndg.Ramadhani Kijah kushoto
na Mwakilishi wa benki ya dunia Pilppe
Dongier wakisaini mkataba wa Mpango wa TASAF 3 unaolenga kuwasaidia watu wanaoishi maisha ya matumizi ya chini ya dola moja kwa
siku hasa nchini Tanzania ili kuwapunguzia ukali wa maisha.Mradi huo utasimamiwa na TASAF.hafla ya utiaji sini imefanyika leo
mchana mjini Dodoma |