Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar anayeshughulikia Fedha Uchumi Mipango
ya Maendeleo, Omar Yussuf Mzee (pichani) akiwasilisha mwelekeo wa
Bajeti ya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha wa
2012/2013 ambapo makadirio ya mapato na matumizi ni Sh.bilioni 648.9.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar anayeshughulikia Fedha, Uchumi ,
Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee (kulia) akitoa taarifa ya
mwelekeo wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 2012/2013
kwa wandishi wa habari kwenye ukumbi wa ofisi yake Vuga mjini Zanzibar
jana