Na Ahmad Nandonde musoma
WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAMEWAVAMIA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU KATIKA MACHIMBO YA MAGUNGA BUHEMBA WILAYA YA MUSOMA VIJIJINI NA KUUA WATU WATANO NA KUJERUHI WENGINE WATANO NA KUCHUKUA PESA,DHAHABU PAMOJA NA MALI MBALIMBALI AMBAZO THAMANI ZAKE BADO HAZIJAFAHAMIKA.
WAKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MARA MAJERUHI WA TUKIO HILO LILILOTOKEA JANA MAJIRA YA SAA TISA ALASIRI WAMESEMA KUWA TUKIO HILO LILITOKEA WAKATI WAKIWA KWENYE MAENEO YA MANUNUZI YA DHAHABU AMBAPO WATU SITA WALIOKUWA WAMEJIFUNIKA VIRTAMBAA USONI WALIWAVAMIA NA KUWATAKA KUTOA KILA WALICHONACHO HUKU WAKIPIGA RISASI HEWANI.
WATU HAO WALIOKUWA NA BUNDUKI MBILI PAMOJA NA MAPANGA BAADA YA KUWAVAMIA WALIANZA KUPIGA RISASI HOVYO NA KUWAKATA MAPANGA BAADHI YA WANUNUZI NA KUANZA KUKUSANYA FEDHA,SIMU PAMOJA NA DHAHABU NA KUTOA KAULI ZA VITISHO KWA YULE ATAKAYELETA UBISHI ATAPOTEZA MAISHA.
MMOJA WA MAJERUHI HAO ALIYEJITAMBULISHA KWA JINA LA MBOYI KEYA MKAZI WA KIJIJI CHA MASUMBWE MKOANI GEITA AMESEMA WAKATI AKIWA KATIKA MOJA YA VIBANDA VYA MANUNUZI ALISHUKIA AKIKATWA PANGA LA BEGA NA KUNYANG'ANYWA KIASI CHA SHILINGI MILIONI MOJA NA LAKI NANE ALIZOKUWA NAZO PAMOJA NA DHAHABU ZENYE THAMANI YA SHILINGI LAKI TANO PAMOJA NA SIMU YA NOKIA HUKU WATU HAO WAKIENDELEA KUFANYA MATUKIO KAMA HAYO KWA WATU WENGINE.
KWA UPANDE WAKE MKUU WA MKOA WA MARA JOHN TUPPA AMABAYE PIA NI MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA AMESEMA SERIKALI PAMOJA NA JESHI LA POLISI LITAHAKIKISHA LINAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALE WOTE WALIOHUSIKA NA TUKIO HILO NA KUWAFIKISHA KATIKA VYOMBO VYA SHERIA.
NAYE MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI HIYO DOCTA JOSEPH NYAMAGWIRA ALISEMA HALI ZA MAJERUHI ZINAENDELEA VIZURI NA WANAENDELEA KUPATA MATIBABU KUTOKA KWA WAGANGA NA WAUGUZI KWA UKARIBU ZAIDI BAADA YA KUFANIKIWA KUWASHONA KWA UFANISI WALE MAJERUHI WALIOKUWA WAMEPIGWA RISASI NA KUKATWA MAPANGA.
WATU WALIOFARIKI KATIKA TUKIO HILO NI CHARLES JAOKO WA BUHEMBA,CHINA MAGIGE WA TARIME,JOSEPH CHACHA NCHAGO WA TARIME,JUMA MARWA WA NA GUNGWA GUNGWA WA WAKAZI WA MIRWA WILAYA YA MUSOMA VIJIJINI AMBAPO MAJERUHI WALIOJERUHIWA KATIKA TUKIO HILO AMBAO WAMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MARA NI MASHINE MULI WA BUHEMBA,NGANYIRA NYANDA WA MAGUNGA,JAPHET HENRY WA BUHEMBA,MBOYI KEYA WA MASUMBWE GEITA NA ZAKARIA ZAKAYO WA GEITA.

HIZO NIMEKUTUM,IAA